Kiwanja kinauzwa Dar es salaam
kiwanja kipo mbagala chamazi wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam
kiwanja kina ukubwa wa Futi 60x50
kiwanja kipo mtaa mzuuri sana,na kipo eneo la ushuani kinoma.
Bei yake shilingi milioni 16
fixed.
kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu