Viwanja viwanja viwanja.
viwanja vipo mbagala mbande roof, wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam.
viwanja vipo mjini, unanunua kiwanja unajenga.Haina kusubiri mwezako ajenge ili muwe wengi.Kuna umeme,maji,yani huduma zote za jamii zipo.
viwanja vimekatwa Kwa mitaa na barabara.
Bei yake shilingi milioni 4.5
kwa wale wanaotaka kubanda (kuunganisha) Basi wawahi ili waweze kufanya hivyo, maana watu wakishaanza kuchukua chukua,watashindwa kufanya hivyo.
kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu