Nyumba mbili na eneo zinauzwa mbagala chamazi kwa mapunda wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam
Nyumba ya kwanza kuna chumba sebule na choo.
Nyumba ya pili ina vyumba vi wili na sebule.pia kuna eneo hilo lililojengwa mabati hapo pichani,ni shehe ya eneo la hiyo nyumba.
Bei yake shilingi milioni 21
Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu