Viwanja Tisa (9) Vya Makazi Vinauzwa Buswelu Mtaa Wa Ilalila
+1
3
Promoted
Ilemela, Mwanza, Buswelu
304 views
Residential Land
Type
500
sqm
Square Metres
Residential
Property Use
Store address
Mwanza Region • Ilemela
Isseke, Tanzania
VIWANJA 9 VINAUZWA BUSWELU MTAA WA ILALILA
-sifa za viwanja
*viwanja vyote vimepimwa
*matumizi ya viwanja ni makazi
*umeme na maji vipo jirani
*barabara nzuri ipo mpaka site
*bei ni ml 3 kwa kila kiwanja kimoja
*ruksa kununua kimoja au vyote
*majirani wapo