tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Books & Table Games
Mara, Bunda, 2 days ago
3 views

Nauza Vitabu Vya Riwaya, Tamthiliya Na Vitabu Vya Ujasiriamali

Brand New
Condition
Books
Type
Business
Genre
Adult
Age Level
18
Number of Pages
2022
Publication Year
Naitwa malole marco, najihusisha na uandikaji na uuzaji wa vitabu vya ujasiriamali na vitabu vya fasihi. vitabu vya ujasiriamali ni kitabu cha sabuni ya miche, unga, maji, shower gel, papai sabuni ya ukwaji, na sabuni ya mchele, pia kuna kitabu cha mafuta ya mgando, na mafuta ya nywele. lakini pia nimeandika tamthili na riwaya nzuri zenye mvuto, hisia, mafunzo na maadili ndani yake kama vile riwaya ya kisiwa cha ukerewe, tamthiliya ya mizani ya mahaba, tamthiliya ya miiba ya waridi, tamthiliya ya wanafunzi watukutu hizo ndo kazi zangu lakini pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa bei nafuu kabisaa, na kuna muda tunatoa mafunzo bure kabisa. hili ni group letu la ujasiriamali bidhaa zetu hutolewa kwa bei nafuu vitabu ni elfu 3,000/= tu
Show contact
Nauza Vitabu Vya Riwaya, Tamthiliya Na Vitabu Vya UjasiriamaliNauza Vitabu Vya Riwaya, Tamthiliya Na Vitabu Vya UjasiriamaliNauza Vitabu Vya Riwaya, Tamthiliya Na Vitabu Vya Ujasiriamali
TSh 3,000
Negotiable

TSh 2,500

≥ 2 pieces
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif