FOREVER EVERSHIELD DEODORANT; Ni deodorant maalumu sana kwa ajili yako, haina chumvi za aluminum (ambazo zina madhara mengi mwilini) FAIDA ZAKE; - Inaua vijidudu. - Inakuacha na harufu nzuri kwapani. - Haiachi alama kwenye nguo wala haiwashi. - Zaidi ya yote inakaa mda mrefu sana (miezi 4+), hivyo ni very economical zaidi ya nyingine nyingi. Karibu sana kuitumia na familia yako!