Kiwanja kinauzwa kipo sehemu nzuri na mtaa uliyojengwa nyumba za kisasa kabisa, Barabara nzuri za mitaa kuzunguka kiwanja na kipo Mbezi mwisho ya kimara njia ya kuelekea makabe kutoka Morogoro road hadi kwenye kiwanja ni km 1.5, miundombini yote ipo kuanzia umeme,maji Dawasa, zahanati zipo,Ukubwa wa kiwanja ni UREFU ni meter 40 na UPANA ni meter 35, Document ni mauziano kutoka serikali ya mtaa na Document ya mwanasheria zote zipo,,karibu wateja tununue viwanja mbezi mpya serikali iliyotupa neema ya kutujengea stand mpya ya mkoa na soko kubwa jipya la kisasa hii ndio mbezi mpya
Square meters: 1400