Swahili
#viwanja #vinauzwa #mapinga #b'moyo
▃ ▃
viwanja vipo: mapinga - bagamoyo.
- viwanja vina ukubwa tofauti tofauti kuanzisa sqm 1,195 mpaka 1,200
- viwanja vimepimwa tayari.
- viwanja kinafaa kwa ujenzi wa makazi.
- viwanja viko km 2 toka bagamoyo road.
- huduma za kijamii zinapatikana karibu na plot
- eneo lililozunguka plot tayari limeendelezwa sana
- viwanja viko tambarale, hakuna milima wala mabonde - bei: tsh. 21,000/= kwa mita moja ya mraba (sqm 1).
- hati miliki utaipata baada ya kukamilisha malipo ya kiwanja.
▃ ▃
english
#plotforsaleatmapingabagamoyo
▃ ▃
plot is located at mapinga - bagamoyo.
- plot. having 1,195 to 1,200 sqm
- plot is surveyed arleady.
- the plot is suitable for residence.
- plot is 2 kms from bagamoyo road.
- social services are found around the plot.
- the areas around the plot are already developed.
--plot is very plain, no hills.
--price: . tsh. 21,000/= par sqm 1
Square meters: 1195