Archive: Jipatie laptop aina ya sumsung chromebook yenye android operating system inayokaa na charge kwa masaa 6 hadi 10 kulingana na matumizi yako nyepesi rahisi kubeba na sio rahsi kuibiwa inawafaa wote rangi ni nyeusi imetumika kwa miezi 6 tu bado ni mpya