Gamepad yetu ya PS4 ni bora kwa wapenzi wa michezo, ikiwa na muundo wa kisasa na udhibiti wa hali ya juu. Inafanya kazi vizuri kwa PS4 na pia inaweza kutumika kwenye PC yako kwa uchezaji wa kiwango cha juu. Ofa maalum! Ukinunua padi mbili, tunakupa rubber za bure za spare kwa ajili ya kulinda vifungo vya gamepad zako. Jipatie uchezaji bora na uimara wa kudumu! Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi