KAZI ZA NOVEL DEPILES CAPSULE S 1.Inasaidia kuondoa Bawasili bila upasuaji , uvimbe na kutoka kwa damu wakat was haja kubwa 2. Huondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu. 3.Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo . 4.Husaidia Damu kuzunguka vizuri. 5. Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis) 6. Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins) 7.Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi. 8.Zinaongeza uzalishwaji wa seli mpya zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell) 9. Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation) 10. Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa. Dalili za Bawasili 1.Kuwashwa seemu ya haja kubwa 2.Kutokwa na damu wakat wa choo 3.Vinyama kuota kwa njia ya haja kubwa 4.Maumivu makal kwa njia ya haja