
- All ads
- Electronics
- Networking Products
- Router
- Huawei Router
Yas Wifi Router Lte
Other
Frequencies Supported
RADIUS Authentication
Security
FTP-Server
Router Features
4G Plus Pocket Router kutoka YAS
Furahia internet ya kasi na unlimited popote ulipo! Router hii ndogo na rahisi kubeba inafaa kwa nyumbani, ofisini, biashara au safari.
4G LTE Speed – internet ya uhakika
Inaunganisha hadi vifaa 10 kwa wakati mmoja
Portable Pocket Router – chukua Wi-Fi yako popote
Bei ya Router: TZS 50,000
Inauzwa pamoja na Unlimited Bundle: TZS 70,000
Jumla ya kuanza: TZS 120,000 tu
Baada ya hapo utakuwa unalipia TZS 70,000 tu kwa mwezi kwa internet unlimited.
TechX Zone-TZ
Friend Corner – Arusha
Order / Wasiliana nasi071XXXXXXX Safety tips
- Avoid paying in advance, even for delivery
- Meet with the seller at a safe public place
- Inspect the item and ensure it's exactly what you want
- Make sure that the packed item is the one you've inspected
- Only pay if you're satisfied
