Hiki ni kifaa cha maajabu a.K,a 4in1.Kinafanya kazi ya kusambaza na kupokea sauti au mziki kwa njia ya wireless.(bluetooth).Umeme usb 5v
1.Transimission.Hii maana yake kinachukua sauti au mziki kutoka vifaa ambavyo havina bluetooth kabisa kama vile radio,camera,homfeata,sabufa,desktop computer,kaseti,tv,kingamuzi,deki,n.K.Nakupeleka sehemu ambazo zina bluetooth kama vile sabufa,headphone,airphone,digital radio,tv,and all wireles headphone.
2.Receiver.Hii maana yake huchukua sauti ama mziki kutoka kwenye vifaa ambavyo vina bluetooth kwa njia ya wireless kama vile:pc,computer,simu,tablet,tv.Nakupeleka kwenye vifaa ambavyo havina bluetooth kama vile:radio,homfeata,sabufa,kaseti,tv,n.K.
3.Pc,computer;ukikichomeka kwenye computer ama tablet kina uwezo wa kuplay muziki kwenda kwenye headphone au sabufa kwa njia ya wireless bila hata kunganisha waya wowote ule.
4.Pia kinatumika kuunganisha keyboard na mouse za wireless kwa njia ya wireless.Bei ni tsh 40,000 kwa mawasiliano piga062*********
Condition: Brand New