Mm ni kijana mchapakazi muaminifu na muadilifu fani yangu ni udereva pia naweza marketing udhaifu wangu ni kwamba ni msumbufu wa kutaka kujua zaidi kwa kujifunza na malengo yangu sio kupata tu pesa bali kupata mafanikio katika kazi ya mikono yangu kwani kazi inapokua na mm hua nakua