Hight voltage powerbank, output 220v.300w 16,000mah.ni pawabank yenye uwezo mkubwa sana,ina uwezo wa kucha laptop ikajaa kabisa,ina uwezo wa kusukuma mambo makubwa kama vile tv,radio, heater gun,balb za umeme 220v,pia kuchaji simu,... n.k.ikiisha unaichaji kwakutumia solar au adapta kuanzia 14v mpaka 24v.pia ina protection circuit haiwezikuzingua hvhv,ikijaa chaji inaswich off input yenyewe.hata kwenye begi unabeba ,ina uzito wa 1.5k,urefu 10cm,upana 25cm.simple to carry.pia unaweza kutoa oda unataka udizainiwe ya uwezo gani.by os_technology
Condition: Brand New