tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Electronics
  3. Photo & Video Cameras
  4. DSLR Cameras
  5. Canon DSLR Cameras
  6. Canon EOS
Arusha, Arusha, 3 hours ago
2 views

Canon EOS 550D and Sigma 300mm

+1
DSLR Cameras
Type
Make
Used
Condition
Unatafuta kamera yenye uwezo mzuri wa kupiga picha na kurekodi video. Canon EOS 550D ni chaguo zuri kwa wanaoanza na wanaotaka kujifunza upigaji picha na utengenezaji wa video. Nauza kamera yangu ya Canon EOS 550D ambayo nimeitumia binafsi kwa shughuli za upigaji picha na video. Ni kamera iliyotumika (used), na kwa ujumla iko vizuri. Sifa za kamera: Ubora wa picha wa megapixel 18. Inarekodi video za Full HD hadi 1080p. Inaruhusu kubadilisha lens kulingana na mahitaji yako. Inafaa kwa photography, kurekodi video, matukio, sherehe na matumizi ya kibiashara. Chaguo zuri kwa wanaoanza kujifunza photography na video production. Vifaa vinavyoambatana nayo: Kamera ya Canon EOS 550D. Lens ya Sigma 300mm. Hali ya lens: Lens ya Sigma 300mm inahitaji kusafishwa ili kuondoa ukungu. Hata hivyo, kwa ujumla kamera iko vizuri.
Show contact
Canon EOS 550D and Sigma 300mmCanon EOS 550D and Sigma 300mm
TSh 800,000
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif