> Ndugu zangu!
>
> Mimi sipo hapa kuuza bidhaa. Nipo hapa kuwaamsha!
>
> Angalieni, hospitali zimejaa. Vijana wa miaka 25 wanalia na UTI, presha, vidonda vya tumbo. Wazee wa miaka 40 wamechoka.
>
> Kwa nini? Tunakula sumu kila siku na tunaita chakula. Tunakunywa soda na tunaita starehe.
>
> AFYA NDIO UTAJIRI WA KWANZA. Ukipoteza afya, hata milioni 10 haina maana.
>
> Mimi nimeamua. Sitaki kuwa mtu wa kulalamika. Nataka kuwa mtu wa kutafuta suluhisho. Suluhisho la asili, lisilo na kemikali.
>
> Na kwa wale mnaolalamika pesa hakuna, sikilizeni: Pesa haipo ofisini, pesa ipo kwenye tatizo la watu. Tatua tatizo la afya la mtu mmoja, kampuni inakulipa. Huo ndio mtaji wa kisasa.
>
> Amkeni! Muda wa kulala umeisha!