Hii ni miswaki ya watoto ambao bado hawajaweza kutumia miswaki mikubwa wenyewe, hii ni laini sana haiumizi fizi inaacha kinywa safi na salama. Pia inamfanya mtoto apende kupiga mswaki maana imekaa kitoto toto, utaipata kwa jumla na rejareja tu Niko kaloleni0