Cheni hii ya shanga original yenye rangi nyingi imepambwa kwa michoro ya kijiometri inayovutia, sehemu ya mbele yenye umbo refu la mstatili na nyuzi za shanga zinazoning'inia. Inavutia kwa mchanganyiko wa rangi.
Inafaa kwa wapenzi wa mapambo ya Kiafrika, hafla za kitamaduni, harusi, zawadi na watalii wanaotafuta bidhaa za kipekee za Tanzania